VOA Swahili ›› UKIIMWI Malawi wasababisha asilimia 15 ya watoto kuwa yatima
Nchini Malawi, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za Umoja wa Mataifa, zaidi ya asilimia 15 ya watoto walio chini ya umri wa miaka 18 ni yatima, kutokana na kiwango kikubwa cha vifo vinavyotokana na maambukizi ya HIV na Ukimwi. Zoe Foundation …